Friday, January 2, 2009

WAANDISHI WA HABARI WA KAGERA KWENYE SEMINA

Tunawashkuru viongozi wa MCT kwa semina hiyo iliyohusu masula ya jinsia na vyombo vya habari ambayo iliwashirikisha waandishi wa Habari zaidi ya 15 kutoka Kagera Press Club.
Kutoka kushoto no Method Kalikila,Gilbert Makwabe,John Rwekanika,Fr Processus Mutungi,Lilian Lugakingira na Angela Sebastian.

WANACHAMA WA KPC NA BALOZI WA SWEEDEN NCHINI(2006)


Wednesday, December 31, 2008

Bohari Kuu ya Mkoa, Jamhuri Road, P.O.Box 1899 Bukoba, Kagera, Tanzania. Tel/Fax 028 2220183,Mob 0754527358 , Email: presskagera@yahoo.com



UTANGULIZI
Kagera Press Club(KPC) ni Chama au umoja wa waandishi wa habari wanaofanya kazi katika mkoa wa Kagera , KPC ilisajiliwa rasmi na serikali kama NGO julai 03,1998 kwa usajili namba S NO 9433.

KPC inayo katiba yake,uongozi na wanachama 31 (2008) ambao baadhi yao wanawakilisha vyombo mbalimbali vya habari vilivyoko nchini Tanzania na nje ya nchi ambapo wanachama wengine ni waaajiriwa katika mashirika na taasisi za umma wakifanya kazi zinazoshabiiana na kazi za uandishi wa habari.

Kabla hujatambua kazi zetu kama waandishi wa habari kwanza fahamu viongozi waliowahi kuiongoza KPC,viongozi wa sasa pamoja na wanachma wote pamoja na namba zao za simu….iwapo unaitaji namba ya simu ya mmojawapo unaweza kuwasilana naye moja kwa moja kupitia chati hapo chini.



VIONGOZI WAKUU WALIOWAHI KUIONGOZA KPC
Mwaka MWENYEKITI
1:1998-2001 Bw C. Nsherenguzi
2:2002-2003 Bw.C.Nsherenguzi
3:2003-2005 Bw.Meddy Mulisa
4:2005-2008 Bw.Gilbert Makwabe
5:2008- Bw.Gilbert Makwabe


Mwaka KATIBU
1:1998-2001 Meddy Mulisa
2:2002-2003 Benjamini Rwegasira
3:2003-2004 Joas Kaijage
4:2004-2004 Wilson Kajuna
5:2004-2005 Lilian Lugakingira
6:2005-2008 Method Kalikila
7:2008- Mathias Byabato

Nb:Baadhi ya makatibu hawakumaliza muda wao kwa sababu mbalimbali

Wanachama wa Kagera Press Club na namba zao.

01
Gilbert Makwabe
Mhariri Gazeti la Rumuli
0754607135

02
Angela Sebastian
Mwandishi Gazeti la Uhuru/Mzalendo
0784720538


03

Mathias Byabato

Mwandishi
Channel ten TV

028 220183
0754 527358
0783267847
04
Lilian Lugakingira

Mwandishi
Mwananchi

0754760430

05
Theonestina Juma
Mwandishi
Majira
0755856991


06
Fr Processus Mtungi

Mhariri Mkuu Gazeti Rumuli

0754888078

07
Joas Kaijage
Mwandishi The Citizen
0784809003

08
Pontian Kaiza

Mwandishi RFA

0755301474


09
Method kalikila

Mwandishi Rumuli

0756849439


10
John Rwekanika

Mwandishi Rumuli
0784834067


11
Kibuka Prudence

Mwandishi The Guardian

0756872135


12
Antidius Kalunde
Mwandishi Tanzania Daima
0784836427
13

Raymond Owaman

Mwandishi RFA/Star TV

0754742502
0786742502

14

Mutayoba Albogast

Mwandishi Rumuli

0754773933

15

Benjamini Rwegasira
Mwandishi TBC
0784425502
16
Ayoub Mussa Mpanja

Mwandishi Msanii Afrika/ RFA
0756384659
17

Phinias Bashaya

Mwandishi Mtanzania

0786489093


18
Peragia Katunzi
Freelance Journalist
0754204630

19
Meddy Mulisa
Mwakilishi New Habari Co LTD
0754079577

20
Daniel Limbe
Mwandishi
Changamoto(Newsp
0787404501

21
Audax Mutiganzi
Mwandishi Mtanzania /The African
0784939586

22
Peres Kanywa

Freelance Journalist


23
Wichsalaus Patrick

Mwandishi RUMULI

0784839009

24
Monica Kiula

MwandishiGazeti Ijawebonere
0753972712


25
Rama Massele
MwandishiITV/Radio One
0784888160

26
Kyaruzi Mababu

Mtangazaji Radio Karagwe
0787431103

27
Salvatory Bakera

Mwandishi Rumuli

0755344868


28
Dominic Rweyemamu

Freelace Journalist


29
Clement Nsherenguzi

Mtagazaji Radio Fadeco

0784935557

30

Paul Mugizi
Freelance Journalist


31
Jonas Muchunguzi

Freelance Journalist
0764156637